iqna

IQNA

braille
Harakati za Qur'ani
IQNA - Kitabu cha mwongozo cha kusoma nakala za nukta nundu ( braille ) za Qur'ani Tukufu kimezinduliwa nchini Indonesia.
Habari ID: 3478618    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/02

Uislamu kwa watu wote
IQNA - Nakala za Qur'ani Tukufu na vitabu vya Kiislamu katika maandishi ya maandishi ya nukta nundu au kwa lugha ya kiingereza Braille, ni miongoni mwa vitu vilivyoonyeshwa kwenye toleo la 55 la Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3478267    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28

TEHRAN (IQNA)-Nakala ya majaribio ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwa maandishi ya nukta nundu ( braille ) katika Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar imezinduliwa katika Maoneysho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3474859    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/28

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kuchapisha Qur’ani Tukufu nchini Kuwati imechapisha Juzuu ya 30 ya Qur’ani Tukufu kwa hati za Baraille au maandishi nukta nundu.
Habari ID: 3474279    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09

TEHRAN (IQNA) - Mvumbuzi wa Saudi Arabia ametangaza kuwa kufanikiwa kutayarisha nakala ya Qur’ani Tukufu ya kielektroniki kwa lugha ya Braille ambayo hutumiwa na watu wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3473609    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/31

TEHRAN (IQNA) – Wenye ulemavu wa macho katika Jamhuri ya Kiislamu ya Irana watakabidhiwa nakala maalumu za Qur'ani zilizoandikwa kwa maandisi ya Nukta Nundu ama Braille.
Habari ID: 3472160    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/07

TEHRAN (IQNA)-Taasisi ya Misaada ya Qatar imesambaza nakala 4,000 za Qur'ani Tukufu zenye hati ya Braille ambayo hutumiwa na watu wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3471220    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/17

TEHRAN (IQNA)-Jamii ndogo wa wanafunzi wenye ulemavu wa macho Malaysia wanajitahidi kuhifadhi Qur'ani kikamilifu kwa kutegemea misahafu iliyoandikwa kwa maandishi ya nukta nundu au Braille.
Habari ID: 3471015    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/10