Habari Maalumu
IQNA – Mchujo wa awali wa usomaji kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu umekamilika, ambapo kazi kutoka nchi 36 zimepitiwa.
19 Aug 2025, 14:38
IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Kiirani amehimiza ushirikiano imara kati ya misikiti duniani, akisisitiza haja ya hatua za pamoja kulinda Msikiti wa Al-Aqsa...
18 Aug 2025, 23:19
IQNA – Mwanazuoni wa dini kutoka Qom amemwelezea Mtume Muhammad (SAW) kuwa ndiye kielelezo bora kabisa kwa wanadamu, akisisitiza kuwa tabia yake njema...
18 Aug 2025, 22:57
IQNA – Awamu ya awali ya kategoria ya usomaji katika Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamuyaliyoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu...
18 Aug 2025, 22:46
IQNA – Msikiti maarufu wa Faisal ulioko katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad, uliandaa sherehe ya kuwaenzi wahifadhi wa Qur’ani Tukufu.
18 Aug 2025, 22:30
IQNA – Muhammad Hussein al-Tayyan, mwandishi na mtaalamu wa lugha wa Syria, anaamini kwamba Qur’an ni kitovu cha lugha ya Kiarabu, na kupitia Qur’an ndiyo...
18 Aug 2025, 22:19
IQNA – Kiongozi wa Akademia ya Iran ya Elimu, Utamaduni na Utafiti (ACECR) amesema kwamba programu kama Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi...
17 Aug 2025, 08:31
IQNA – Misri imetangaza mashindano makubwa zaidi ya taifa ya televisheni yenye lengo la kugundua vipaji vipya vya usomaji wa Qur’ani.
17 Aug 2025, 08:39
IQNA – Mamlaka za Ufaransa zimeanzisha uchunguzi kufuatia jaribio la kuchoma moto chumba cha kusalia cha Waislamu mjini Châtillon-sur-Seine, tukio ambalo...
16 Aug 2025, 16:56
IQNA – Jimbo la Sarawak, Malaysia limeanzisha mbinu rafiki kwa mazingira katika kuheshimu na kuondosha nakala zilizochakaa za Misahafu au Qur’an Tukufu.
16 Aug 2025, 16:48
IQNA – Zaidi ya wafanyaziyara milioni 21 wameshiriki katika ziara ya Arbaeen mwaka huu nchini Iraq, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na haram ya Abul-Fadhlil...
16 Aug 2025, 16:40
IQNA – Mtaalamu wa Qur’ani kutoka Iran, Gholam Reza Shahmiveh, amepongeza historia ndefu ya Malaysia katika kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani,...
16 Aug 2025, 16:29
IQNA – Mkusanyiko wa turathi za kitamaduni na kazi binafsi za Qur’an za Marehemu Sheikh Farajullah Shazli, mmoja wa maqari mashuhuri wa Misri, umewasilishwa...
16 Aug 2025, 15:43
IQNA – Raundi ya mwisho ya Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma, na Kufasiri Qur’ani Tukufu imemalizika Alhamisi katika...
15 Aug 2025, 21:04
IQNA – Wizara ya Wakfu na Mambo ya Kiislamu ya Morocco imetangaza mpango mkubwa wa miaka mitatu wa kuwapa mafunzo mapya maimamu 48,000 wa misikiti kote...
15 Aug 2025, 20:57
IQNA – Uwezo wa kiustaarabu na wa kujenga taifa ulio ndani ya matembezi n a ziyara yakila mwaka ya Arbaeen unazidi kudhihirika kadiri siku zinavyosonga,...
15 Aug 2025, 20:46