IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Israel ililazimika "kusalimu amri na kuing'ang'ani Marekani" kwa kukata tamaa, wakati wa vita vya hivi karibuni vya siku 12 dhidi ya Iran, na kuthibitisha kuwa haina na uwezo wa kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu bila msaada.
17:50 , 2025 Jul 16