iqna

IQNA

Maldivi
Harakati za Qur'ani Tukuuf
IQNA - Rais wa Maldivi (Maldives) Mohamed Muizzu amesisitiza azma ya serikali yake ya kuendeleza ufundishaji wa Qur'ani Tukufu na kuunga mkono walimu wa Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3478067    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/21

TEHRAN (IQNA) – Rais Ibrahim Mohamad Solih wa Malidivi misikiti itafunguliwa tena kuanzia Julai Mosi kwa ajili ya Swala za jamaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Male.
Habari ID: 3472913    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30