iqna

IQNA

uturuki
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran amesema, vyombo vya habari vyenye uadui vinapindua ukweli na kuandaa habari bandia ili kujaribu kutoa taswira isiyo sahihi kuhusu Iran ya Kiislamu na Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3475977    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/23

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Hafla ya kufunga Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Uturuki ilifanyika Jumatano usiku katika mji mkuu wa nchi hiyo, Ankara.
Habari ID: 3475887    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 8 la mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya Uturuki yanaendelea kwa kushirikisha wawakilishi kutoka nchi 49.
Habari ID: 3475868    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/02

Hujjatul Islam Hamid Shahriari
TEHRAN (IQNA) – Msomi mwandamizi wa Kiislamu nchini Iran anasema matatizo mengi ya ulimwengu wa Kiislamu yanatokana na masuala ya kisiasa kati ya nchi.
Habari ID: 3475827    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23

Michezo ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mkoa wa Konya wa Uturuki unaandaa toleo la tano la Michezo ya Mshikamano wa Kiislamu, ambayo ilizinduliwa rasmi katika sherehe siku ya Jumanne.
Habari ID: 3475604    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/10

Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Hafla imefanyika Silopi, mkoa wa Sirnak, kusini mashariki mwa Uturuki, kuzindua shule ya kufundisha vijana kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3475564    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/31

Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza ulazima wa kulindwa ardhi yote ya Syria na kusema: Shambulio lolote la kijeshi katika eneo la kaskazini mwa Syria litazidhuru Uturuki, Syria na eneo zima na Asia Magharibi na kuwanufaisha magaidi.
Habari ID: 3475517    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/19

Kuhifadhi Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya wanafunzi 8,000 wa Uturuki wamehitimu katika somo la kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika kozi ambayo imedumu mwaka moja
Habari ID: 3475440    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/29

Kuhifadhi Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi 393 waliohifadhi Qur’ani Tukufu wamehitimu katika mahafali iliyofanyika katika msikiti mmoja huko Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3475330    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/03

Katika mazungumzo na Rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja matukio ya karibuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina kuwa yasiyokubalika na kueleza kuwa: Kuna ulazima wa kufanyika juhudi za kusitisha mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina kupitia msaada wa nchi za Kiislamu na jitihada za kimataifa.
Habari ID: 3475202    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/03

TEHRAN (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Ustaarabu wa Kiislamu limezinduliwa kwenye uwanja wa Msikiti wa Grand Camlica, msikiti mkubwa zaidi wa Uturuki, katika wilaya ya Uskudar ya Istanbul.
Habari ID: 3475105    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/09

TEHRAN (IQNA)- Harakati za mapambano ya Kiislamu ambazo zinapignaia ukombozi wa Palestina zimelaani vikali safari ya rais wa utawala haramu wa Israel Isaac Herzog nchini Uturuki wakati huu ambao Israel imeshadidisha hujuma dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3475026    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/10

TEHRAN (IQNA)-Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imetangaza mpango wa kuongeza idadi ya waliohifadhi Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3474848    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/24

TEHRAN (IQNA)- Mahafali ya kuhitimu mamia ya wanafunzi walioifadhi Qur'ani Tukufu imefanyika kaskazini mashariki mwa Uturuki katika mkoa wa Rize.
Habari ID: 3474668    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/12

TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) yuko nchini Uturuki kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Mabunge ya Kiislamu ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC)
Habari ID: 3474656    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/08

Rais wa Iran katika mkutano na Rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo na changamoto za kieneo zinapaswa kutatuliwa na nchi za eneo na kwamba uingiliaji wa kigeni hausaidii lolote bali unachochea na kuvuruga zaidi hali ya mambo.
Habari ID: 3474617    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29

TEHRAN (IQNA)- Wanafuni katika kituo cha vijana cha Dar al Afta mkoani Sivas sasa wanajishughulisha katika kutengeneza bidhaa mbali mbali kwa mikono na pato wanalopata linatumikwa kuwasaidia wasiojiweza katika jamii.
Habari ID: 3474604    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/26

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki amesema wanandoa wawili raia wa utawala haramu wa Israel waliokamatwa nchini humo wiki iliyopita walikuwa wanatekeleza ujasusi wa kijeshi na kisiasa.
Habari ID: 3474572    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/18

TEHRAN (IQNA) Msahafu ulioandikwa zaidi ya miaka 600 iliyopita unaonyesha katika Maktaba ya Nyaraka ya Ziya Bey nchini Uturuki.
Habari ID: 3474565    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16

Rais Raisi wa Iran katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki na kusisitiza kuwa: Iran na Uturuki zinapasa kujiandaa kuimarisha uhusiano wa sasa kuelekea kwenye ushirikiano wa pande zote.
Habari ID: 3474561    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/15