iqna

IQNA

somalia
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Somalia imeamuru madrassah za Qur'ani zifungwe ili kuzuia kuenea ugonjwa hatair wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472621    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/31

TEHRAN (IQNA) - Magaidi wakufurishaji wa kundi la Al Shabab wametekeleza mashambulizi dhidi ya vituo viwli vya Jeshi la Somalia katika eneo la Lower Shabelle na kuua askari wasiopungua wanne.
Habari ID: 3472488    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/20

TEHRAN (IQNA) - Bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari ambalo lilikuwa likiwalenga wakandarasi Uturuki limelipuka katika eneo la Afgoye, kaskazini Magharibi mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu ambapo watu watatu wanaripotiwa kuuawa katika tukio hilo.
Habari ID: 3472384    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/18

TEHRAN (IQNA) – Watu wasiopungua 100 wameuawa mapema Jumamosi na wengine wengi kujeruhiwa hujuma ya kigaidi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3472312    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/29

TEHRAN (IQNA) -Magaidi kundi la al-Shabab wamedau kuua wanajeshi 23 wa Somalia katika hujuma dhidi ya kituo kimoja cha jeshi.
Habari ID: 3472143    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/22

TEHRAN (IQNA) -Watu 26 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi dhidi ya hoteli moja kusini mwa Somalia.
Habari ID: 3472041    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/13

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa kundi la Al Shabab wameua watu 16 katika hujuma ya kigaidi iliyojiri leo Jumamosi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3471781    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/22

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopuingua sita wamepteza maisha na Madrassah ya Qur'ani kuharibiwa katika hujuma ya kundi la kigaidi la Al Shabab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3471658    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/03

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Somalia hivi karibuni wameshiriki katika khitma ya Qur’ani Tukufu ya mwalimu maarufu wa Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3471227    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/22

TEHRAN (IQNA)-Mamia ya nakala za Qur’ani Tukufu zimesambazwa katika shule moja nchini Somlia miongoni mwa wanafunzi walioshiriki katika mashindano ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471081    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/23

TEHRAN (IQNA)-Kufuatia nchi kadhaa za Kiarabu zikiongozwa na Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu UAE kukata uhusiano na Qatar, washiriki wa Qatari na Somalia wametimuliwa katika mashindano ya Qur’ani ya Dubai.
Habari ID: 3471018    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/13

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Canada wanachangisha pesa kusaidia familia za raia wa Somalia wanaokabilia na baa la njaa.
Habari ID: 3471003    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/01

Mwanamke Mwislamu Mmarekani, Ilhan Omar ameweka historia kwa kuchaguliwa kugombea kiti katika Bunge la Wilaya ya 60B jimbo la Minnesota nchini Marekani.
Habari ID: 3470525    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/16

Mwandishi mwenye asili ya Somalia amebaini kuwa vyombo vya habari vya Magharibi hupuuza na kutozingaita habari kuhusu Waislamu wanaouawa katika vitendo vya kigaidi hasa nchini Somalia.
Habari ID: 3470515    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/11

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini yameanza siku ya jumatatu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3470255    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/19

Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wamewataka raia wa nchi hiyo kuwa na umoja na mshikamano. Viongozi hao wamekutaja kudumishwa umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi kuwa ni jambo muhimu la lenye udharura.
Habari ID: 1396701    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/19