iqna

IQNA

kuhifadhi
Harakati za Qur'ani
IQNA - Maelfu ya wafungwa katika jela za Jamhuri ya Kiislamu Iran wamefaulu kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu au juzuu kadhaa wakiwa wanatumikia vifungo vyao gerezani, mkuu wa Shirika la Magereza la Iran alisema.
Habari ID: 3478738    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/26

TEHRAN (IQNA)- Watu 100 waliohifadhi Qur’ani Tukufu nchini Misri katika mji wa Al-ʾIskandariyah (Alexandria) wameenziwa na kutunukiwa zawadi baada ya mashindani makubwa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474398    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/08

TEHRAN (IQNA)- Binti mmoja nchini Misri ambaye sasa ana umri wa miaka 11 aliweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu akiwa na umri wa miaka 7.
Habari ID: 3474152    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/02

TEHRAN (IQNA)-Kijana mwenye umri wa miaka 11 nchini Bangladesh amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa muda wa siku 86.
Habari ID: 3471221    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/18

TEHRAN (IQNA)-Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita nchini Nigeria amewashangaza wengi kwa kufanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu kwa kipindi cha chiniya mwaka moja.
Habari ID: 3471107    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/06

TEHRAN (IQNA)-Mwanamke raia wa Uturuki ambaye amehifadhi nusu ya Qur'ani hivi sasa anataraji kuhifadhi Qur'ani kikamilifu.
Habari ID: 3470924    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08

Shirika moja la kutoa misaada nchini Qatar limeanzisha vituo 169 vya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Niger.
Habari ID: 3335751    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/27

Waziri wa Masuala ya Awqaf na Kiislamu nchini Qatar ameamuru kuundwa Kamati ya Ustawi wa Kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 2870538    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/19