Habari Maalumu
Utamaduni wa Qur'ani
IQNA – Kipindi maalum cha televisheni cha Mwezi wa Ramadhani cha ‘Mahfel’ ni kazi ya Qur’ani na ndiyo maana kimebarikiwa na Mwenyezi Mungu, mmoja wa wataalamu...
18 Mar 2024, 22:10
Ramadhani katika Qur'an /3
IQNA - Moja ya Hadith maarufu zilizosimuliwa kuhusu Ramadhani ni katika khutba ya Mtukufu Mtume (SAW) iliyotolewa katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Shaaban.
18 Mar 2024, 08:14
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 7 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
18 Mar 2024, 09:51
Mashindano ya Qur'ani
IQNA-Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa zawadi ya Sh milioni 10 kwa washindi wa kitaifa wa mashindano ya kuhifadhi Quran,...
18 Mar 2024, 07:17
Umoja wa Waislamu
IQNA - Jumuiya ya Waislamu Duniani (WML) imeandaa mkutano unaolenga kukuza maelewano kati ya madhehebu za Kiislamu.
18 Mar 2024, 06:22
Al-Masjid an-Nabawi
IQNA – Msikiti wa Mtume (SAW) Al-Masjid an-Nabawi katika mji wa Madina nchini Saudia ulishuhudia Waislamu wengi wakitiririka katika siku za kwanza za...
17 Mar 2024, 20:54
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Televisheni ya satelaiti ya Al-Thaqalayn imeanza kurusha mashindano yake ya kwanza la kimataifa la usomaji wa Tarteel wa Qur'ani Tukufu.
17 Mar 2024, 20:38
Waislamu Marekani
IQNA - Huko Houston, Marekani Waislamu wametangaza kususia hafla ya 25 ya kila mwaka ya Futari ambayo kulalmikia mwaliko kwa viongozi wa serikali.
17 Mar 2024, 16:14
Utamaduni
IQNA - Maktaba ya Umma ya Mfalme Abdulaziz mjini Riyadh imezindua maonyesho yenye nakala 42 za Qur'ani 42 ambazo kila moja imeandikwa kwa kaligrafia ya...
17 Mar 2024, 15:34
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku...
17 Mar 2024, 05:26
Kadhia ya Palestina
IQNA- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza katika taarifa yake kwamba, mji wa Quds (Jerusalem) ni sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi...
16 Mar 2024, 18:22
Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Daud Kim, mwimbaji maarufu wa pop wa Korea Kusini na YouTuber, amesimulia namna alivyoukubali Uislamu kuwa muongozo katika maisha yake.
16 Mar 2024, 17:58
Mwezi wa Ramadhani
IQNA-Neno Ramadhani linatokana na mzizi wa "Ra Ma Dha" na muundo wake wa wingi ni Ramadanat na Armidha. Maana yake ni joto kali na inasemekana Waarabu...
16 Mar 2024, 18:13
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku...
16 Mar 2024, 05:47