IQNA

Mwezi wa Ramadhani

Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 15

Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.

Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku utiifu wa wenye kunyenyekea katika mwezi huu, na Unikunjue kifua changu katika mwezi huu kwa toba za wenye kunyenyekea kwa Amani yako ewe Amani ya wenye kuogopa.