IQNA

Operesheni ya Kimbunga Cha Al-Aqsa katika Picha: Ukanda wa Gaza Unaokaliwa kwa Mabavu

GAZA (IQNA) - Makabiliano kati ya muqawama wa Palestina na wanajeshi wa Israel yanaendelea kufuatia uzinduzi wa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa siku ya  Jumamosi kutoka Gaza

Mashambulizi hayo yamezua wimbi la ukosefu wa usalama katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu  Wakati huo huo, wanajeshi wa Israel wanaendelea na mashambulizi ya anga katika Ukanda wa Gaza ambayo yamesababisha uharibifu wa maeneo ya makazi na misikiti, na kupoteza maisha ya mamia ya watu.

 
 

 

Habari zinazohusiana