IQNA

Usomaji Mpya wa Qura’ni Tukufu wa Mahmoud Shahat Anwar katika Tafsiri ya aya ya Hajj

Mahmoud Shahat Anwar, msomaji mpya na mashuhuri wa Misri, amesoma Tafsiri ya aya ya 17 ya Surati Baqarah kuhusu Hijja katika kisomo kipya.

Alifanya kisomo hiki wiki iliyopita, tarehe 29 mwezi  Juni, katika mkusanyiko wa raia wa Misri na wapenzi wa Qur'ani  Tukufu katika kijiji cha Tawfiqiyya katika mji wa Itai al Barud katika mkoa wa  Bahira wa Misri, na akasoma Tafsiri za  aya za Surati  Baqarah.

 

4150122

 

 

Kishikizo: qurani tukufu
Habari zinazohusiana