IQNA

Wapalestina wawatembelea wenzao wanaoshikiliwa katika gereza za Israel

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Wapalestina hupanda mabasi ya Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu kila mwezi kwa lengo la kuwatembelea wenzao wanaoshikiliwa katika gereza za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel.